Diamond Platnumz & Zuchu – Mtasubiri free song Lyrics

Diamond Platnumz and Zuchu

Legendary Tanzania singer Diamond Platnumz team up with Tanzania songress Zuchu to dished out new single titled Mtasubiri. Check out Diamond Platnumz & Zuchu – Mtasubiri free song lyrics below

Diamond Platnumz & Zuchu - Mtasubiri free song Lyrics

Mtasubiri free song lyrics by Diamond Platnumz and Zuchu

Verse 1: Zuchu & Diamond Platnumz
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona, na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari

Pre-Chorus: Zuchu & Diamond Platnumz
Eti unanipenda mi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh)
Unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh)
Unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia

Chorus: Diamond Platnumz & Zuchu
Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh mtangoja)
Mtasubiri sana, mtasubiri
Wanasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri (Oh, vuten kiti mkae)
Mtasubiri sana, mtasubiri

Verse 2: Diamond Platnumz & Zuchu
Oh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa
Oh baby vya chakuchaku vitanifuja
Oh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Oh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nishaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Na presha zitaqwashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba

Pre-Chorus: Diamond Platnumz & Zuchu
Eti unanipenda mi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh)
Unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia
Unanipenda mimi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh)
Unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia

Chorus: Diamond Platnumz & Zuchu
Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh mtangoja)
Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh)
Wanasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtasubiri sana, mtasubiri

Outro: Diamond Platnumz & Zuchu
Wanasema eti umeniroga
Ni kweli ila inawahusu nini
Hunipendi ila unanichuna
Ni kweli ila inawahusu nini
Eti wanasema wewe ni kicheche
Ni kweli ila inawahusu nini
Utanichezea kеsho uniache
Ni kweli ila inawahusu nini

 

 

[wpforms id=”3249″]‏

Similar Posts