Neema Gospel Choir – Unaweza (You are Able) free mp3 music

Neema Gospel Choir – Unaweza (You are Able) Free mp3 musicNeema Gospel Choir lyrics

Unaweza (You are able) is a brand new single from Tanzania Gospel singer Neema Gospel Choir. Check out Unaweza free mp3 music and lyrics of Unaweza is available below

Lyrics of Unaweza (You are able)

Refrain:

Mwokozi wetu Yesu, Bwana wa mabwana

(Our Savior Jesus, Lord of lords)

Unaweza, nani kama wewe Bwana wa mabwana?

(You are Able, who is like You, Lord of lords? ) (Repeat)

Tunalisifu Jina lako (We praise Your Name)

Tunatukuza jina lako (We exalt Your Name)

Wewe ni mfalme wa wafalme (You are the King of kings) (Repeat)

(Refrain)

Ee Bwana, Mungu wa majeshi (Oh God, Lord of Hosts)

Ee Bwana, utuangazie (Oh Lord, light our way)

Nuru za uso wako (The light of Your face)

Ee Bwana, ee Bwana (Oh Lord, Oh Lord)

Nasi tutaokoka (We shall be saved)

Milele milele (Forever and ever) (Repeat)

Hata watu wabadilike (Even if people change)

Wewe kamwe hubadiliki (You never change)

Si kama mtu udanganye (You are not like man to lie)

Kweli yako ni ya milele (Your truth is forever) (Repeat)

(Refrain)

Bwana mkono wako (Lord Your hand)

hutenda makuu (Does great things)

Umetupa wokovu (You have given us salvation)

Nani kama wewe, Bwana wa mabwana? (Who is like You, Lord of lords?) (Repeat)

(Refrain)

Bwana, mkono wako (Lord, Your hand)

hutenda makuu (Does great things)

Umetupa wokovu (You have given us salvation)

Nani kama wewe, Bwana wa mabwana? (Who is like You, Lord of lords?) (Repeat)

Stream and listen to Unaweza (you are able) free mp3 music by Neema Gospel Choir

Similar Posts